Breaking News

Your Ad Spot

Jun 8, 2014

MTEMVU AWAVISHA UKAMANDA WA VIJANA TEMEKE


 Mbunge wa jimbo la Temeke (CCM), Bw. Abbas Mtemvu (kulia) akizungumza na wana CCM wa Kata 14, Chang'ombe, Dar es Salaam, baada ya kuwaapisha Makamanda wanne wa matawi ya chama hicho. Wa pili kushoto ni Bw. Gogo Mzome Temeke, Bw. Omari Shomvi Matumbi, Bi. Amina Mlewwa Njaro na Bw. Umaru Habibu wa Maganga. Kushoto ni Kamanda wa Vijana wa Kata hiyo Bw. Iddy Ngozi.



 Mashabiki wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata 14, iliyoko Temeke, Dar es Salaam, wakicheza na kushangilia kwa furaha baada ya Mbunge wa Temeke, Bw. Abbas Mtemvu, kuwaapisha makamanda wanne wa vijana wa matawi ya Njaro, Matumbi, Temeke na Maganga, walioapishwa

 Mashabiki wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata 14, iliyoko Temeke, Dar es Salaam, wakicheza na kushangilia kwa furaha baada ya Mbunge wa Temeke, Bw. Abbas Mtemvu, kuwaapisha makamanda wanne wa vijana wa matawi ya Njaro, Matumbi, Temeke na Maganga, walioapishwa

 Mbunge wa jimbo la Temeke (CCM), Bw. Abbas Mtemvu (kulia) akimvisha joho la Ukamanda, Kamanda wa Vijana wa CCM Tawi la Njaro, Bi. Amina Mlewwa, baada ya kuwaapisha makamanda wanne wa matawi ya chama hicho Temeke, Dar es Salaam

 Mbunge wa jimbo la Temeke (CCM), Bw. Abbas Mtemvu (kulia) akimvisha joho la Ukamanda, Kamanda wa Vijana wa CCM Tawi la Temeke, Bw. Gogo Mzome, baada ya kuwaapisha makamanda wanne wa matawi ya chama hicho Temeke, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Kamanda wa Vijana Tawi la CCM Matumbi akiwa amebebwa na wafuasi wa chama hichio katika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages