Breaking News

Your Ad Spot

Jul 2, 2014

LICHA YA ARGENTINA KUSHINDA 1-0 NA KUTINGA ROBO FAINALI, MESSI AIKUBALI USWISI

Let me take a selfie: Messi celebrates with Angel Di Maria and Ezequiel Lavezzi in the dressing room
Uswizi mmh! Messi, Angel Di Maria na Ezequiel Lavezzi  wakishangilia ushindi kwenye chumba cha kubadilishia nguo.
 
LIONEL Messi amekiri kuwa Argentina walibanwa sana kabla ya  Angel Di Maria kufunga bao pekee dhidi ya Uswisi  katika dakika za nyongeza lililowapa tiketi ya kwenda robo fainali ya kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil.
"Wote tulihangaika, tulihangaika na kuhangaika,' alisema Messi. "Tulianza kuwaza kama haitatokea. Lakini mwisho bahati ilituangukia na tunatakiwa kutumia faida hiyo kusonga mbele". 
"Kama ilivyokuwa kwa wote, niliumia sana kwasababu sikufunga. Tulijua kama tungefanya kosa moja tungerudi nyumbani. Hatukutaka kusubiria penati. Tulitaka kumaliza dakika za kawaida".

Big fans: Messi's girlfriend, Antonella Roccuzzo, and their son Thiago watched Argentina's win
Mashabiki bab kubwa!: Mpenzi wa Messi, Antonella Roccuzzo na mtoto wao wa kiume Thiago wakitazama ushindi wa Argentina.
Give this to your dad: Little Messi gets a kiss from his mum in the stands as his dad sets up the winning goal
Mpe busu hili baba yako: Messi mdogo akipata busu kutoka kwa mama yake baada ya baba yake kutengeneza bao la ushind.


World class: Messi left the Swiss defenders trailing in his wake before laying the pass on for Di Maria

 ==========

MAREKANI YAPIGWA 2-1 NA UBELGIJI, LAKINI KIPA WAO ATIA FORA.

No way past: Tim Howard denies Everton team-mate Kevin Mirallas with his left foot late in the second half
On fire: Howard's heat map serves to highlight his involvement

Busy boy: Howard was kept very busy in comparison to Belgium keeper Thibaut Courtois
Kijana wa kazi: Howard aliokoa michomo mingi zaidi ukilinganisha na kipa mwenzake wa Ubelgiji, Thibaut Courtois

Red alert: Howard gets down well and stretches to deny Belgium as Vincent Kompany watches on
 Howard akijitanua na kuokoa mpira uliopigwa na nahodha wa Ubelgiji  Vincent Kompany

Kwa kuokoa michomo 15, kipa huyo wa Everton ameandika rekodi mpya ya kombe la dunia tangu takwimu kama hizo zipatikane mwaka 1966 ambapo kipa wa Peru, Ramon Quiroga aliokoa michomo 13 mwaka 1978 dhidi ya Uholanzi.
Kiwango cha jana cha Howard ndio bora zaidi kuwahi kutokea katika timu ya Marekani tangu Sylvester Stallone afanye hivyo mwaka 1981.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages