Breaking News

Your Ad Spot

Apr 15, 2015

MVUA ILIYONYESHA JUZI MWANZA YASABABISHA KUEZULIWA KWA PAA LA NYUMBA YA ZUBERI KASSIMU

Ilikuwa majira ya Saa 7: mchana mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali , uliyosababisha kuezuliwa paa la nyumba ya Zuberi Kassim (Zollee) anaye ishi Mtaa wa jiwe Kata ya Igogo (W)  Nyamagana Mwanza,  ambapo wananchi walijitokeza na wakishirikiana na   Mwenyekiti wa Mtaa huo kupitia Chama cha Wananchi  (CUF) Salehe Bilali, japo hakuna aliyepoteza maisha katika tukio hilo (NA MWANARIPOTA WA UJIJIRAHAA)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages