Breaking News

Your Ad Spot

Apr 13, 2015

YANGA YAIFUNGA MBEYA CITY 3-1 KATIKA PICHA

 Wachezaji wa Yanga wakipongezana baada ya kupata goli la kwanza katika mchezo wao na Mbeya City leo uliofanyika leo uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-1. (Picha na Francis Dande)
 Mashabiki wa Yanga wakishangilia ushindi wa timu yao.
 Hassa Dilunga akienda chini baada ya kukwatuliawa na Juma Nyoso.
 Amis Tambwe akitafuta mbinu za kumtoka kipa wa Mbeya City, Hanington Kalyesubula.
Juma Nyoso akichuana na Amis Tambwe.
 Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman akiwa katikati ya mabeki wa Mbeya City.
 Kocha wa Yanga, Hans Van Pluijm akimpa maelekezo kiungo wa timu hiyo, Salum Telela baada ya kufunga bao la pili.
 Raha ya ushindi.
 Shabiki wa Yanga akiwa amejipaka rangi.
 Kipa wa Mbeya City, Hanington Kalyesubula akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
 Shabiki wa Yanga akiwakejeli mashabiki wa Mbeya City.
 Wakishangilia.
  Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman akimtoka beki wa Mbeya City.
 Nadir Haroub ‘Canavaro’ akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la 3.
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva (katikati) akimpongeza
beki wa timu hiyo, Nadir Haroub
‘Canavaro’ baada ya kufunga goli la tatu katika mchezo wa Ligi Kuu ya
Soka Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Harouna Niyonzima.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages