Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge, Joshua Nassari wa Arumeru
Mashariki (kushoto) na Murtaza Mangungu wa Kilwa Kaskazini kwenye
viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Kei 12, 2015. Wapili kulia ni Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Florens Turuka na Kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi
ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Jumanne Sajini.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr.
Florens Turuka kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 12, 2015.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269