Breaking News

Your Ad Spot

May 19, 2015

RAIS WA MSUMBIJI AWASILI ZANZIBAR LEO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya kikazi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipokuwa akisalimiana na Mawaziri wa Zanzibar mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya kikazi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitambulishwa na Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi aliposalimiana na Mawaziri mbali mbali wa Serikali ya Msumbiji walioungana na Rais Filipe mara baada ya mapokezi walipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya kikazi Nchini

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages