Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.
Rashid Seif (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja
kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa
chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini
Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.
Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (kushoto), akizungumza katika ufunguzi wa semina hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (kulia), akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa
Kinga ... wa wizara hiyo, Dk.Georgina Msemo wakati wa ufunguzi wa
semina hiyo.
Wanahabari wakiwa kwenye semina hiyo.
Wanahabari wakichukua taarifa wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.
Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula kutoka
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Raymond Wigenge(kushoto),
akielekezana jambo na Kaimu Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa TFDA,
James Ndege wakati wa Semina hiyo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269