Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein na
ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Mjini Berlin wakiwa
wamesimama wakiimbiwa wimbo maalum na Wanafunzi wa Skuli ya Bruno
H-Burgel Schule ya Postdam walipotembelea Skuli hiyo ambayo
inaushirikiano na Skuli ya Mwanakwerekwe ya Zanzibar.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na ujumbe wake wakiwaangalia
wanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam wakati walipokuwa
wakijibu masuala wakiwa katika moja ya madarasa skulini hapo wakiwa
katika ziara Mjini Berlin nchini Ujerumani.
Rais wa
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Dr.Christoph Hauser Naibu
Mkurugenzi Mkuu Idara ya Ushikiano wa Kimataifa wa Sayansi walipokuwa
wakiangalia kukumbu mbali mbali walipotembelea Makumbusho ya Mjini
Berlin Nchini Ujerumani wakiwa katika ziara ya kikazi.
Rais wa
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Idara ya Sayansi
katika Historia halisia Mjini Berlin Nchini Ujerumani wakati
walipotembelea makumbusho katika Mji huo wakiwa katika ziara ya kikazi
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269