Viongozi
mbalimbali wa Chama na Serikali wajitokeza katika viwanja vya Mwembe
Yanga wakifuatilia mpambano kati ya timu ya Mtoni dhidi ya Kata ya 14,
zilipokuwa zikichuana ambapo katika mchezo huo, Kata ya 14 iliichapa
Mtoni mabao 4-3.
Viongozi mbalimbali wa Michezo wajitokeza katika viwanja vya
Mwembe Yanga wakifuatilia mpambano kati ya timu ya Mtoni dhidi ya Kata
ya 14, zilipokuwa zikichuana ambapo katika mchezo huo, Kata ya 14
iliichapa Mtoni mabao 4-3. kuanzia kulia walio kaa ni mweka hazina
timu ya Sandali, wakatkati ni Katibu wa Timu ya Kata ya Miburani ,
ambayo timu yake ya inacheza leo na timu ya Kilakala na Meneja na
Mwenyekiti wa Michezo Mwembe Yanga Dar es Salaam
Promoter
Bonge na Mkurugenzi wa Timu ya 14, akizungumza na wachezaji
walipokuwa wamepumzika kipindi cha mapumziko katika viwanja vya Mwembe
Yanga Dar es Salaam
Wachezaji
wa Timu ya Kata ya 14 wakishangilia kwa pamoja wakiwa na kipa wao baada
ya kushinda kwa mikwaju ya Penalt katika Nusu Fainal ya Mtemvu Cup
Kati ya timu ya kata ya 14 na Mtoni
Msanii
Omar Tego Coast Modern Taarab akitoa burudani wakati wa Nusu Fainali ya
Mtemvu Cup lipokuwa ikiendelea Viwanja vya Mwembe Yanga
Msanii
Inspekta Harun , Haruna Kahena akiwa mmoja wa wasanii hao waliotoa
burudani wakati wa Nusu Fainal ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe
Yanga jijini Dar es Salaam
Mshambuliaji
wa timu ya Mtoni, Samwel Salonge (kulia) akimtoka beki wa timu ya timu
ya Kata ya 14,katika mpambano wa Nusu Fainal ya Mtemvu Cup kwenye
Uwanja wa Mwembeyanga Dar es Salaam jana, Mtanange huo, Kata ya 14
iliichapa Mtoni mabao 4-3
Mshambuliaji wa timu ya Mtoni, Rajabu Zanda akimtoka beki wa timu ya
timu ya Kata 14,katika mpambano wa Nusu Fainal ya Mtemvu
Cup kwenye Uwanja wa Mwembeyanga Dar es Salaam jana, Mtanange huo,
Kata ya 14 iliichapa Mtoni mabao 4-3
Mashabiki wakifatilia mpambano huo.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269