Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Raymond Mushi (kushoto), akikabidhi Cheti cha ushindi wa kwanza
kwa Meneja Usalama na Mazingira wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
Renatus Nyanda, kutambua mchango wa TBL kutunza mazingira, wakati wa
kilele cha Wiki ya Mazingira, iliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond
Mushi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), baada ya kushiriki katika zoezi la usafi wa mazingira
katika soko la Mchikichini, Dar es Salaam
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond
Mushi (kushoto) akishirikiana na wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), katika soko la Mchikichini, Dar es Salaam jana, ikiwa ni sehemu
ya maadhimisho ya wiki ya mazingira, ambapo TBL imesaidia vifaa
mbalimbali vya usafi kwa Manispaa ya Ilala. Kulia ni Meneja wa Kiwanda
hicho, Bw. Calvin Martine.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond
Mushi (kushoto) na Meneja wa Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Bw. Calvin
Mushi wakisukuma toroli zenye takataka, baada ya kufanya usafi katika
soko la Mchikichini, Dar es Salaam jana, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya wiki ya mazingira, ambapo TBL imesaidia vifaa mbalimbali vya usafi
kwa Manispaa ya Ilala.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond
Mushi (kushoto) akimuaga Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Dorris Malulu baada ya kushiriki katika maadhimisho ya
wiki ya usafi katika soko ya Mchikichini Dar es Salaam jana, ambapo TBL
imesaidia vifaa mbalimbali vya usafi kwa Manispaa ya Ilala. Kulia ni
Meneja wa Kiwanda cha Bia Tanzania Bw. Calvin Martine.
Baadhi ya wafanyakazi wa Manispaa ya Ilala wakishiriki usafi katika soko
la Mchikichini, Dar es Salaam jana, baada ya Manispaa hiyo kupewa vifaa
mbalimbali vya usafi vilivyotolewa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Mazingira.
Baadhi ya wafanyakazi wa Manispaa
ya Ilala wakishiriki usafi katika soko la Mchikichini, Dar es Salaam
jana, baada ya Manispaa hiyo kupewa vifaa mbalimbali vya usafi
vilivyotolewa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya wiki ya Mazingira
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269