Dk.Ali Mohamed Shein KATIKA JIMBO LA MKANYAGENI LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akizungumza na
wanachama wa CCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM
uliofanyika leo katika uwanja wa Black wizard Chokocho jimbo la uchaguzi
la Mkoani Wilaya ya Mkoani Pemba,
PICHA ZOTE NA IKULU.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwa Mgombea
wa Urais wa kupitia CCM kwa kipindi cha pili Dk.Ali Mohamed Shein
akionesha Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa Wananchi na Wanachama wa CCM
jimbo la Mkanyageni katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi zilizofanyika
katika uwanja wa mpira Black wizard leo Chokocho,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwa Mgombea
wa Urais wa kupitia CCM kwa kipindi cha pili Dk.Ali Mohamed Shein
akimtambulisha mgombea Uwakilishi Mohamed Ijaza Jecha Jimbo la Mtambile
Wilaya ya Mkoani Mkoa wa kusini Pemba leo katika mkutano wa kampeni za
Uchaguzi zilizofanyika katika uwanja wa mpira Black wizard Chokocho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwa Mgombea
wa Urais wa kupitia CCM kwa kipindi cha pili Dk.Ali Mohamed Shein
akimtambulisha mgombea Ubunge Prof.MAKAME mbarawa Mnyaa Jimbo la
MKANYAGENI Wilaya ya Mkoani Mkoa wa kusini Pemba leo katika mkutano wa
kampeni za Uchaguzi zilizofanyika katika uwanja wa mpira Black wizard
Chokocho.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa
CCM NEC na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho
alipokuwa akiwaombea kura wagombea wa CCM katika mkutano wa hadhara wa
Jimbo la Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo wakati
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitangaza sera zake
wakati wa Mkutano wa Hadhara wa Kampeni za katika jimbo hilo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwa Mgombea
wa Urais wa kupitia CCM kwa kipindi cha pili Dk.Ali Mohamed Shein
akiwatambulisha wagombea Udiwani wa Majimbo ya Wilaya ya Mkoani Mkoa wa
kusini Pemba leo katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi zilizofanyika
katika uwanja wa mpira Black wizard Chokocho.
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha
Mapinduzi CCM waliohudhuria katika mkutano wa Kampeni za CCM katika
Wialaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,zilizofanyika leo katika uwanja
wa Black Wizard na kuhutubiwa na Mgombea Urais kwa kipindi cha pili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269