Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Jonh Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Bumbuli, wilayani Lushoto, mkoani Tanga jana.
Mgombea
urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jonh Pombe Magufuli,
jana amewahutubia wananchi wa jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto,
mkoani Tanga wakati akinadi sera zake. Huu ni mwendelezo wa kampeni zake
za kusaka kura kwa wananchi ili awe urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269