Balozi mpya wa Finland nchini Bw.
Pekka Hukka akisanini kitabu cha wageni alipowasili Ikulu jijini Dar es
salaam kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
leo Septemba 9, 2015.
Balozi mpya wa Finland nchini Bw.
Pekka Hukka akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho
Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.
Balozi mpya wa Finland nchini Bw.
Pekka Hukka baada ya kuwasilisha hati za utambulisho akiongea na Rais
Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.
Balozi mpya wa Finland nchini Bw.
Pekka Hukka akipigiwa nyimbo za taifa baada ya kuwasilisha hati za
utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam
leo Septemba 9, 2015.
Balozi mpya wa Sweden Bi. Katrina
Rangnitt nchini akiweka saini kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha
hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es
salaam leo Septemba 9, 2015.
Balozi mpya wa Sweden nchini Bi.
Katrina Ranngitt akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya
Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.
Balozi mpya wa Sweden nchini Bi.
Katrina Ranngitt akisalimiana na Naibu Waziri wa mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9,
2015.
Balozi mpya wa Sweden nchini Bi.
Katrina Ranngitt akiwa katika mazungumzo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
PICHA ZOTE NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269