Breaking News

Your Ad Spot

Sep 7, 2015

YUSUPHU MAKAMBA ALIPONGURUMA MORO



Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Yusuph Makamba akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea wa urais kupitia chama hicho Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro


Msikilize Yusuphu Makamba hapa






No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages