Breaking News

Your Ad Spot

Nov 28, 2015

BALOZI SEFUE AKIZUNGUMZIA KUHUSU KUSIMAMISHWA KAZI KAMISHNA MKUUTRA

on1 
Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue akizungumza na waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari hawapo pichani kuhusu upotevu wa makontena zaidi ya 349 huku akiwa ameshika nyaraka yenye orodha ya makontena hayo.
on2.Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue akionesha nyaraka hiyo mbele ya waandishi wa habari waliofika kwenye mkutano huo.
on3Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue wakwanza kushoto akifafanua jambo mbele ya wanahabari.
msi1

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages