MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AKABIDHIWA OFISI RASMI NA DKT. BILAL, AKAKABRIBISHWA RASMI NA WAFANYAKAZI WA OFISI YAKE.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea nyaraka za
Ofisi kutoka kwa Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
wakati wa makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam,leo No 9, 2015. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa
Rais, Sazi Salula. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea nyaraka za
Ofisi kutoka kwa Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
wakati wa makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam,leo Nov 9, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisaini Kitabu cha
wageni wakati alipoingia Ofisini kwake kwa mara ya kwanza baada ya
kukabidhiwa Ofisi na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
leo Nov 9, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan (wa pili kulia) akiwa
katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal (kulia kwake), Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula
na Naibu Katibu Mkuu wake, ….baada ya makabidhiano ya Ofisi
yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,leo Nov 9,2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mstaafu,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wafanyakazi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais, baada ya bakabidhiano ya
Ofisi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 9, 2015. Picha
na OMR

Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi ya Maua
kama ishara ya makaribisho, kutoka kwa mfanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa
Rais, Martha Mashuki, wakati alipowasili kwa mara ya kwanza kwenye Ofisi
yake na kupokelewa na wafanyakazi wake leo, Nov 9, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ua
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,akisalimiana na Katibu
Mkuu wa Ofisi yake, Sazi Salula,wakati alipowasili kwenye Ofisi yake kwa
mara ya kwanza baada ya kukabidhiwa ofisi rasmi leo, Nov 9,2015. Kulia
ni Naibu Katibu Mkuu, Eng. Angelina Madete. Picha na OMR
Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu
Hassan na baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais,
wakati akiondoka baada ya makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Nov 9, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi
ya wafanyakazi wa Ofisi yake wakati alipowasili kwenye Ofisi yake kwa
mara ya kwanza leo baada ya kukabidhiwa rasmi Ofisi na Makamu wa Rais
Mstaafu, Dkt. Bilal. Wafanyakazi hao walijipanga kumpokea huku wakiimba,
kupiga makofi na vigeregre wakati akiwasili. Picha na OMR

Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akizungumza na
wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati alipowasili kwenye Ofisi
hiyo leo Nov 9, 2015 baada ya makabidhiano. Akizungumza na wafanyakazi
hao Mama Samia, aliwataka watumishi hao kufanya kazi kwa mashirikiano na
kwa bidii ili kutimiza Kaulimbiu ya Mhe.Rais ya ‘HAPA KAZI TU’. Picha
na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya Wakurugenzi wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya
makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) alipowasili ofisi kwake kwa mara
ya kwanza leo Nov 9, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wanamama wa Ofisi yake baada ya
kuzungumza nao alipowasili ofisi kwake kwa mara ya kwanza leo Nov 9,
2015 kwa makabidhiano ya Ofisi na Makamu wa Rais Mstaafu. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269