Dereva wa Gari T 382 CTN, alia na ukiritimba wa chini kwa chini na Tochi
zisizo za msingi awapo Barabarabani, hayo yilitokea jana, baada ya
Dereva huyo kutaka kuwaachia gari Askari hao wakiwemo Abiri waliokua
kwenye gari hilo baada ya kufika eneo la Misigiri kulazimishwa kulipa
Fain (BAO) kwa lazima, Dereva huyo alishuka toka kwenye gari hilo na
kwenda kuwasikiliza na kuomba aonyeshwe hilo tochi au picha iliyopigwa
lakini hakuonyeshwa na Askari aliyekua akimwandikia bao hilo Kondakta wa
gari hilo alipanda kwenye gari ili kujiridhisha na mwendo wa Dereva, alisalimi na kuwauliza
abiria vipi mwendo wa Dereva? walipaza sauti zao kwa pamoja, mwendo wa Dereva ni mdogo mno na
wakasema abiria hao, tumetoka Shinyanga saa 3.06 na tumefika eneo hili
saa 6.57, lakini Askari huyo alishuka na kumpiga bao Kondakta huyo la
nguvu lakini Konda huyo alitoa pesa kwa shingo upande na Risiti konda
huyo hakupewa. Wapipofika Singida saa 8. 38, Baadhi ya Abiria
walimuuliza Askari mwenye namba F 9972 kutaka kufahamu taratibu, ndipo
abiria walisema wanapo ulizwa abiria kua, abiria mnaonaje mwendo wa
dereva wenu unaridhisha? iweje hawasikilizwi na kunafaidagani kuwauliza abiria na kuto
wasikiliza? Askari huyo aliwaonyesha picha ya gari moja iliyopigwa na
kutumwa kwa njia ya WhatsAp, ni moja ya kupunguza ajali, Askari huyo
alisema kwa Dereva huyo angekua anakwenda mwendo wa kasi asingekua hapa
Singida , angekua amefika Dodoma, ambapo baadhi ya abiria
walimshukuru kwa kuwapa muongozo na askari huyo aliwatakia abiria safari
njema abiria walimshukuru kwa ushirikiano na abiria waliomba askari
wawe na moyo wa askari kama wewe kutolazimisha mambo.Gari hilo lilifika Dar es Salaam katika Stendi Kuu ya Mabasi Ubungo mnamo mida ya Saa 7.30 usiku. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Askari akimwandikia kondakta huyo
Konda akimpa pesa Askari huyo
Askari
akimuonyesha Kondakta huyo sehemu ya kuweka saini na Mmoja wa abiria
katikati akishuhudia konda akionyesha sehemu ya kusaini
Askari
akiwa ndani ya Gari katika Stendi ya Mabasi Singida akiwaanyesha Abiria
waliokuwa kwenye basi hilo picha iliyopigwa kwa njia ya Mtandao.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269