Breaking News

Your Ad Spot

Mar 19, 2016


Kushoto ni Bwana Harusi JOHN SAMWEL CHACHA akiwa pamoja na Bibi Harusi Milika Daniel Binagi, katika hafla ya harusi yao iliyofanyika Juzi Alhamisi Machi 17,2016 Rebu, Wilaya ya Tarime Mkoani Mara.
Kushoto ni mpambe wa bibi harusi (Kulia)
Brighters wakiingia ukumbini
Maharusi wakiingia Ukumbini
Maharusi wakikata utepe kuingia Ukumbini
Maharusi wakiwa Ukumbini. Wengine ni wapambe wao
Katikati ni Maharusi wakiwa Ukumbini. Wa kwanza kushoto ni kulia ni wapambe wa Maharusi
Wazazu uoande wa Bibi Harusi
Wanafamilia
Ndugu, Jamaa na Marafiki.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages