Makamu
wa Rais wa chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno na Dk, Bingwa
wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dk. Ambege Mwakatobe akimuangalia Kinywa
mtoto Ferdinandi Chales (1) wakati wa kuelekea Madhimisho ya Afya ya Kinywa na Meno yatakayo fanyika kesho machi 20, 2016. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Daktari
Bingwa wa Afya ya Kinywa na Meno Hospitali ya Taifa Muhimbili Dk.
Deogratias Kilasara akimfanyia ukaguzi wa Kinywa na Meno, Godfey
Mikael (10) wakati walipotembelea kituo cha Nyumba ya watoto Yatima
Mgolole Mkoani Morogoro katika kuelekea Maadhimishoa ya Kilele cha
Maadhimisho hayo machi 20, ambapo Kitaifa yatafanyika Mkoani humo
Mmoja wa Walezi wa Watoto wa liyopo
kituo cha Nyumba ya watoto Yatima Mgolole Mkoani Morogoro, Filbertha
Kunambi (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na watoto hao,
ambapo na yeye alilelewa kituoni hapo na hadi sasa ametimiza miaka 50
bado ana pata huduma mbalimbali kituoni hapo
Makamu wa Rais wa chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno na Dk,
Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dk. Ambege Mwakatobe aliyevaa kofia akiwa katika picha ya pamoja na madaktari wenzake, walezi na watoto mara walipotembelea kituoni hapo katika wiki ya kinywa na meno Duniani ambapo Kitaifa yatafanyika Mkoani Morogoro machi 20, 2016
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269