Watu kadhaa wamenusurika baada ya ndege ya
Shirika la Ndege la Auric Air (pichani), waliyokuwa wakisafiria kupata
ajali katika Uwanja wa Ndege wa Manispaa Bukoba baada ya ndege hiyo
kupata pancha tairi ya nyuma ya upande wa kulia ilipokua inatua.
Kwa umahiri wa Rubani amaweza kuicontrol kama inavyo onekana pichani ikiwa pembezoni mwa Uwanja.
Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka Jijini Mwanza ,tukio limetokea majira ya saa nne asuhuhi ya leo Jumamosi April 30,2016
Kwahisani ya
#BUKOBAWADAU MEDIA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269