Breaking News

Your Ad Spot

Apr 24, 2016

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO AWASILI NCHINI AKITOKEA UGANDA KWENEYE DILI LA UJENZ WA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA TANZANIA KWENDA UGANDA

 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa pili kushoto) akiwasili jijini Dar es salaam jioni leo, akitokea Jijini Kampala alikoenda kukamilisha dili la kazi ya ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, alioongozana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa (kulia) pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk. Juliana Pallangyo.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, akionyesha kwa (waandishi wa habari) ramani ya mpango wa ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda mpaka  Tanga, mara baada ya kuwasili uwanja wa Ndege Dar es Salaam, akitokea  Kampala. Mashariki na Kati. Picha zote na Khamis Mussa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages