Maelfu ya waombolezaji wamefurika kwenye jengo la makaburi ya
Louisville,
Kentucky, Marekani ambako Bingwa wa zamani wa masumbwi ya uzani wa juu
Duniani, Hayati Muhammad Ali, anatarajiwa kuzikwa hapo jioni hii, Juni
10, 2016. Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton, anatarajiwa kutoa
wasifu wa bondia huyo aliyejipatia umaarufu mkubwa na kupendwa zaidi
kuliko bondia mwingine yeyote.
Cave Hill
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269