Nyumbani anakoishi kijana Emanuel Fedrick na wazazi wake mtaa wa Mwambenja Iganjo jijini Mbeya. |
Mwenyekiti wa UVCCM Mbeya Amani Kajuna akitoa maelekezo kwa wazazi wa kijana Emanuel Fedrick mara baada ya kukabidhi rasmi kiti maalum (Wheelchair)kwa kijana huyo . |
Mama Mzazi wa kijana Emanuel Fedrick amwenyetatizo la ulemavu wa akili na viungo akipokea godoro ambalo limekabidhiwa na David Nyembe kwaniaba ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mbeya. |
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269