Baadhi ya wachezaji wa timu ya Medeama ya Ghana wakiwa wamewasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa, Julius Nyerere Dar es Salaam
kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shilikisho Afrika CAF dhidi ya Yanga
Mchezo unao tarajiwa kuchezwa keshokutwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
huku kiingilio kikiwa ni 3,000 na 10,000. timu ya Yanga imeshusha
viingilio hivyo kwa lengo la kufanya mashabiki wengi wahudhurie mchezo
huo. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Your Ad Spot
Jul 14, 2016
Home
Unlabelled
TIMU YA MEDEAMA KUTOKA GHANA YAWASILI JIJINI DAR ES SALAAM
TIMU YA MEDEAMA KUTOKA GHANA YAWASILI JIJINI DAR ES SALAAM
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269