Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Sophia Simba (kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha kubadilishana uzoefu, katika ya Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa (kushoto), na Ujumbe wa Kinamama kutoka vyama vya siasa nchini Malawi (kulia), uliotembelea Makao Makuu ya UWT Taifa, jijini Dar es Salaam. Ujumbe huo kutoka Malawi, upo nchini Tanzania, kwa mwaliko wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Picha zote na Bashir Nkoromo
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Zarina Madabida (kulia) akifafanua jambo, wakati wa kikao hicho. Kushoto pia ni Wajumbe wa Kamati hiyo ya Utekelezaji.Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Unoja wa Wanawake wa Tanzania UWT, wakiwa na Kinamama kutoka vyama vya siasa vya Malawi, wakati wa kikao hicho. (Picha zote na Bashir Nkoromo) Picha zaidi>>>BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269