Mmiliki wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii
katika eneo la Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mkurugenzi wa Mradi huo
Brain Thomson, akitowa maelezo kwa waandishi wa habari walipofika
kutembelea mradi huo kujionea maendeleo ya matayarisho yake na
kuwaonesha michoro ya picha za majengo ya Mradi huo mkubwa utakaokuwa na
uwanja vya ndege. na kutengeneza visiwa kwa ajili ya wageni wanaofika
katika Visiwa vya Zanzibar.
Mmiliki wa Mradi wa Mkubwa wa Hoteli ya
Kitalii katika eneo la Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja Mr. Brian
Thomson, akitowa maelezo ya mradi huo kwa kuwaonesha jinsi ya majengo
yatakuwa katika eneo hilo na kutoa ajira kwa Wananchi wa Matemwe na
vijiji jirani kupitia mradi huo.
Mmiliki wa Mradi Mkubwa wa Ujenzi wa
Hoteli katika eneo la Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja Mr. Brian Thomson
akizungumza na waandishi wa habari walipofika kuangalia ujenzi wa mradi
huo na kusema kukamilika kwakev kutachukua miaka minane kukamilika
kwake na kutowa fursa za ajira kwa vijana wa kijiji hicho na kutowa
maendeleo katika sekta za jamii kunufaika na mradi huo.
Sehemu ya mbele ya majengo ya mradi huo kuingia katika eneo la hoteli hiyo.
Jinsi ya mradi huo utakapokamilika ujenzi wake utakuwa kama hivi na
kubadilisha mandhari ya eneo la matemwe mkoa wa kaskazini unguja.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269