.

KAMPUNI YA MERCK YA AFRIKA KUSINI YAKABIDHI MSAADA WA VITANDA NA MAGODORO

Nov 14, 2016

vita1
Naibu Waziri wa afya Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalawa pili kushoto akipokea Masada wavitanda 50 kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Merck ya Afrika ya Kusini Stefan Maron watatu kushoto kwa ajili ya hospitali na vituo vya afya nchini wakati wakukabidhiwa Vitanda hivyo,magodoro 50 na vyandarua 100.
vita2
Naibu Waziri wa afya Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangala wa pili kushoto akipokea Msada wa Vyandarua 100 kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Merck ya Afrika ya kusini Stefan Maron watatu kushoto kwa ajili ya hospitali na vituo vya afya nchini wakati wa kukabidhiwa Vitanda hivyo,magodoro 50 na vitanda 50. (P.T)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช