.

WALIMU WASTAAFU MAKETE WAPEWA ZAWADI NZITO NA CWT

Dec 25, 2016


 Walimu wastaafu wakiimba wimbo wa Solidarity Forever
 Mwenyekiti wa chama cha walimu (CWT) Wilaya ya Makete Thobias Kasambala akizungumza kwenye hafla hiyo

 Walimu wa staafu wakisikiliza jambo

 Afisa elimu sekondari wilaya ya Makete jacob Meena akiwaasa wastaafu hao
 Katibu wa CWT wilaya ya Makete Elizabeth Petro akisoma taarifa fupi
 Mgeni Rasmi afisa elimu Msingi wilaya ya Makete Anthony Mpiluka akitoa hotuba yake kwa wastaafu hao
 Mgeni rasmi akiendelea na hotuba yake


 Mgeni rasmi akikabidhi zawadi ya bati 20 kwa wastaafu hao Mwalimu Mstaafu akitoa neno la shukrani kwa CWT
Picha zote na Edwin Moshi, Makete

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª