.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA IRAN LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

Jul 17, 2017

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akipokea ujumbe Maalum kutoka kwa Spika wa Bunge la Iran, uliowasilishwa leo na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (kulia), katika tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (katikati), katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akipokea ujumbe wakati akikabidhiwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang  katika kikao kilichofanyika Mjini Dodoma. 

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª