Breaking News

Your Ad Spot

Sep 5, 2017

MAMIA YA WAANDISHI WA HABARI WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU MUHINGO RWEYEMAMU, LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Baadhi ya waombolezaji wakibeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari nguli na Mkuu wa Wilaya katika wilaya kadhaa Muhingo Rweyemamu, baada ya kuwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kuagwa mwili ya marehemu, kabla ya kupelekwa kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni pia Dar es Salaam. 
 Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari Tanzania Theophil Makunga akitoa salam za rambi rambi wakati wa shughuli hiyo ya kuaga mwili wa marehemu Muhingo Rweyemamu.
 Makamu Mwenyekiti wa MISA-Tanzania Jane Mihanji akitoa salam za rambirambi
 Mhariri wa Nipashe akitoa salam za rambirambi
 Mkuu wa Wilaya ya Handeni Godwin Gondwe akitoa salam za rambirambi
 Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanai Mstaafu Ngemela Lubinga akitoa salam za rambirambi
 Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Mwalimu akitoa salam za rambirambi 
 Mkuu wa mkoa wa dar es Salaam, Paul Makonda akitoa salam za rambirambi
 Waziri Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. harrison Mwakyembe akitoa salam za rambirambi
 Familia ya marehemu Muhingo Rweyemamu 
 Jeneza lenye mwili likiandaliwa kabla ya mwili kuagwa
 Mwili ukiandaliwa kabla ya kuagwa
 Waziri Mwakyembe akiongoza kuaga mwili
 Makonda akiaga mwili
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiaga mwili 
 Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu
 Waombolezaji wakiaga mwili. Aliyeko usawa wa jeneza ni katibu tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo
 Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo akitoa pole kwa familia ya marehmu  
 Mkuu wa Wilaya Mstaafu Jacqueline Liana akitoa polea kwa mjane wa marehemu
 Aliyekuwa mpigapicha wa siku nyingi Athumani Hamis akitoa pole kwa mjane wa marehemu 
 Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel akilimali akipita kuaga mwili 
 Umati wa waombolezaji ukiwa tayari kwenda makaburini kuzika mwili wa marehemu baada ya kuuaga 
 Waombolezaji wakibeba jeneza lenye mwili kulipeleka kwenye gari
Waombolezaji wakiiingiza jenela lenye mwili kwa ajili ya kwenda kuzika kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam, baada ya kuaga mwili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, leo. PICHA NYINGI ZA KUAGA MWILI NA WAOMBOLEZAJI, TAFADHALI/>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages