Breaking News

Your Ad Spot

Dec 7, 2011

KATIBU MKUU WA CCM ASHIRIKI MKUTANO UJERUMANI

 Katibu Mkuu wa CCM  Ndg. Wilson  C. Mukama, akiwa katika mazungumzo na Meya wa Jiji la Hamburg nchini  Ujerumani, Mbwana Wolfgang Schmidt wakati wa kufungwa kwa Mkutano Mkuu wa Chama Cha SPD cha Ujerumani. Katikati anayeshuhudia ni Bwana Olaf Schok.
  Katibu Mkuu wa CCM   Wilson  C. Mukama, akimpongeza Katibu Mkuu wa SPD  Bi. Andrea Nahles mara baada ya kuchaguliwa kutetea nafasi yake. Katika   Mkutano Mkuu wa SPD, Nahles alipata asilimia 73. Aidha  Mwenyekiti wa Chama Cha SDP  cha  Ujerumani Bwana Sigmar Gabriel naye aliweza kutetea nafasi yake kwa kuchaguliwa kwa asilimia 91 ya kura zote halali.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages