Dereva, Maneno Tamba akipokea tiketi na vibali hivyo kutoka kwa Mtemvu
Hamud Ramadhan akipokea tiketi na vibali vya safari kwenda kufanya kazi ya udereva Dubai
Dereva Salum Rashid akikabidhiwa tiketi na vibali kwa ajili ya safari hiyo
Dereva, Khatib Mohamed Waziri akikabidhiwa na Mtemvu tiketi na vibali kufanya kazi ya udereva Dubai.
Mkazi wa Dar es Salaam, Rahma Salehe akipokea tiketi na vibali vya kwenda kufanya kazi Qatar, Falme za kiarabu
Mkazi wa Dar es Salaam, Hindu Khamis akipokea tiketi na vibali vya kwenda kufanya kazi Qatar, Falme za kiarabu
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269