JK AREJEA NCHINI BAADA YA KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA MJINI MALABO EQUTORIAL GUINEA
Kaimu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Ilala
Mhandisi Raymond Mushi akimlaki Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda
mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius
Nyerere akitokea Malabo Equtorial Guinea ambapo alikwenda kuhudhuria
mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika(AU) uliomalizika
jana.Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis
Mwamunyange Picha na Freddy Mar
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269