Msanii Ali Kiba akilishambulia jukwaa
wakati wa onesho lake la ufunguzi wa Tamasha la Busara lililoanza jana
katika viwanja vya Ngome Kongwe Zenj na kuwavutia Wageni wengi waliofika
katika viwanja hivyo akipiga muziki laivu.
Wasanii wa kikundi cha Ali Kiba wakitowa burudani katika onesho lao katika viwanja vya Ngome Kongwe Mjini Zanzibar.
Wapenzi wa muziki wakiwa katika
viwanja vya Ngome Kongwe wakifuatilia Tamasha hilo wakati wa Msanii wa
Kizazi kipya Ali Kiba akifanya vitu vyake jukwaani jana usiku wakati wa
uzinduzi wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar. (Picha zote kwa hisani
ya ZanziNews blog)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269