Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D.
Yambesi (katika kiti kikubwa) akiongea na wataalam wa kujitolea kutoka
nchini Japani waliomtembelea ofisini kwake kujitambulisha Wataalam
wa kujitolea kutoka nchini Japani wakipiga makofi kumshukuru Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D.
Yambesi mara baada ya kuwakaribisha nchini kufanya kazi sekta
mbalimbali.
Sehemu
ya wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani waliokuja nchini kutoa
huduma kwa kujitolea katika maeneo mbalimbali wakitoka nje ya Ofisi ya
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma baada ya hafla fupi ya
kuwakaribisha nchini.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269