Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana masuli na Halidi Manjee baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia
Iddi Bonge kushoto akitunishiana misuli na Alphonce Mchumiatumbo baada
ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Feb 14 katika
ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar es salaam siku ya jumamosi.
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto
akitunishiana masuli na Halidi Manjee baada ya kupima uzito kwa ajili ya
mpambano wao utakaofanyika Feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar
es salaam.
………………………………………………………………………….
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA wa uzito wa juu
wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa taifa mabondia
hawo ni Iddi Bonge na Alphonce mchumiatumba ambao watapanda uringoni
siku ya Feb 14 katika ukumbi wa P.T.A sabasaba kwa ajili ya kumaliza
ubishi
ambao umetanda mitaani ni nani
bingwa wa uzito wa juu nchini ambapo kwa mda mrefu akuna bingwa wa uzito
huo katika upimaji wa uziti zilizogubikwa na tambo mbalimbali za
mashabiki waliojazana kushidia upimaji wa uzito
mpambano huo wa raundi kumi
utakuwa ni wa aina yake kwa kuwa kutakuwa na mapambano mengine ya
utangulizi ambapo bondia Iddi Mnyeke atapambana na Yonas Sego nae Alidi
manjee atakabiliana na bondia chipkizi anaekuja kwa kasi katika
ulimwengu wa masumbwi Vicent Mbilinyi wakati Shabani Kaoneka atamkabili
Saidi Mbelwa, na Deo Samweli akipambana na Adam Ngange Juma fundi
atakabiliana na Bakari Ostadhi na Amani Bariki ‘Manny Chuga’ atapambana
na Mohamed Kashinde
Manyoka aliongeza kwa kusema
kuwa siku hiyo kutakuwa na ulinzi wa kutosha ndani na nje ya ukumbi huo
ambapo amesha wasiliana na walinzi mbalimbali
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269