Breaking News

Your Ad Spot

Feb 12, 2015

BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA LASAINI WARAKA WA BRIGHTON DECLARATION KUHUSIANA NA USAWA WA KIJINSIA KATIKA MICHEZO

H1Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa Bw. Henry Riaya (kulia) akisaini Waraka wa Brighton Declaration kuhusiana na usawa wa kijinsia katika michezo, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo (jana) kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bi. Juliana Yassoda.
H2Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Maendeleo ya Michezo Bi Juliana Yassoda wa kwanza kushoto akisaini Waraka wa Brighton Declaration kuhusiana na usawa wa kijinsia katika michezo, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo (jana).wa kwanza kushoto ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa Bw. Henry Riaya. H3Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa Bw. Henry Riaya (kulia) akisisitiza jambo mbele ya wanahabari hawapo pichani kuhusiana na Waraka wa Brighton Declaration kuhusiana na usawa wa kijinsia katika michezo
H4Baadhi ya wanahabari wakimsikiliza Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa Bw. Henry Riaya hayupo pichani akizungumza na wanahabari hawapo pichani katika hafla ya kusaini Waraka wa Brighton Declaration kuhusiana na usawa wa kijinsia katika michezo.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. (jana.) Picha zote na Benjamin Sawe -WHVUM

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages