Pichani
Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya Bwana John Haule akila kiapo mbele
ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo
asubuhi.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini
Kenya na Naibu Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha.Katika hafla hiyo
iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam,
Rais Kikwete akimkabidhi vitendea kazi Bwana John Haule kuwa baada ya kumwapisha kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya Naibu katibu mkuu Wizara ya Fedha, Dkt.Hamisi Mwinyimvua akila kiapo mbele ya Rais ikulu jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269