Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimkaribisha Balozi wa Saudi Arabia, Hani Abdullah Mominah,
wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Feb 12,
2015 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Picha na OMR Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia, Hani Abdullah Mominah, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2015 kwa
ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na
OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Balozi wa Saudi Arabia, Hani Abdullah Mominah, baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika wakati Ofisini kwa Makamu Ikulu Jijini Dar
es Salaam, leo Feb 12, 2015 wakati Balozi huyo alipofika kwa ajili ya
kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269