Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Saleh Mohamed Jidawi akitoa maelezo wakati wa
Hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya uchunguzi na upasuaji wa macho
kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China. Wa kwanza (kushoto) ni
Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman na (wakatikati) ni Balozi mdogo wa
China aliepo Zanzibar Xie Yuanliang.
Balozi Mdogo wa China Xie Yuanliang akimkabidhi Waziri wa Afya Rashid
Seif Suleima msaada wa vifaa vya matibabu ya macho uliotolewa na
Serikali ya nchi yake. Hafla hiyo ilifanyika Makao Mkuu ya wizara ya
Afya Mnazimmoja mjini Zanzibar.
Waziri
wa Afya wa Zanzibar Rashid Seif Suleiman akitoa shukrani baada ya
kupokea msaada wa dawa za matibabu ya macho uliuotolewa na Serikali ya
Jamhuri ya watu wa China katika Hafla iliyofanyika Wizarani Mnazimmoja.
Picha na Makame Mshenga Habari Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269