Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji
mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Fedha wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Omar Yussuf Mzee(hayupo pichani) alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa
mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika
mkutano uliofanyika leo asubuhi ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar mbele ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269