Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akitoa heshima za mwisho kwenye majeneza yenye miili ya Familia ya
marehemu Kapten David Mpila waliofariki kwa kuteketea na moto nyumbani
kwao Kipunguni, wakati wa mazishi yao yaliyofanyika leo Februari 10,2015
katika makaburi ya Airwing Ukonga, Dar es Salaam.

Bilal akiweka shada la maua kwenye makaburi ya familia ya marehemu
Kapten David Mpila waliofariki kwa kuteketea na moto, wakati wa mazishi
yao yaliyofanyika leo Februari 10,2015 katika makaburi ya Air wing
Ukonga Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akimfariji mama mzazi wa marehemu bibi Celina Mpila mke wa marehem
Kapten David Mpila waliofariki kwa kuteketea na moto, wakati wa mazishi
yao yaliyofanyika leo Februari 10,2015 katika makaburi ya Airwing
Ukonga Dar es Salaam. (Picha zote na OMR)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269