Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi
Communication, Francis Nanai, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Feb 13, 2015 kwa mazungumzo na kujitambulisha
rasmi baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo. Kushoto ni Mhariri
Mtendaji wa Kampuni hiyo, Bakari Machumu. Picha na OMR Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Uongozi wa juu wa Kampuni ya Mwananchi Communication,
Mkurugenzi Mtendaji Francis Nanai (katikati) na Mhariri Mtendaji wa
Kampuni hiyo, Bakari Machumu, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Feb 13, 2015 kwa mazungumzo na kujitambulisha
rasmi baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo na kuelezea kazi
zinazofanywa na kampuni hiyo. Picha na OMR Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi
Communication, Francis Nanai wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Feb 13, 2015 kwa mazungumzo na kujitambulisha
rasmi baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo na kuelezea kazi
zinazofanywa na kampuni hiyo. Picha na OMR Makamu
wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa juu wa Kampuni ya Mwananchi
Communication, Mkurugenzi Mtendaji Francis Nanai (wa pili kushoto)
Mhariri Mtendaji Bakari Machumu (kulia) na Mshauri wa Kampuni hiyo,
Teddy Mapunda (kushoto) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam leo, Feb 13, 2015. Picha na OMR
Your Ad Spot
Feb 13, 2015
Home
Unlabelled
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA MWANANCHI COMMUNICATION
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA MWANANCHI COMMUNICATION
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269