Kuna
matukio ambayo huwa yanachukua headlines kubwa kwenye vyombo vya habari
kutokana na sababu mbalimbali, mengine sio ya kawaida kuyasikia hivyo
hata ukiyasikia lazima yawe ya kushtua.
Mwanamke mmoja Catherine wa
Kenya amemuua mtoto wake aliyejifungua siku tano zilizopita na kula
moyo wa mtoto huyo, kisha akaingia nyumba ya jirani yake na kuwaua
watoto wengine wawili ambapo majirani walimkuta baada ya kufanya tukio
hilo.
“Msichana
mwingine amekuja ananiambia zuzuu unakaa na watoto wote wa muzoni
wanauliwa iko hapo kwa kitanda mimi nilitoka mbio.. nakuja hapa nakuta
wototo wote wanauliwa iko kwa kitanda” alisema shuhuda mmoja wa tukio hilo.
Mwanamke huyo anashikiliwa kituo cha Polisi huku uchunguzi ukiendelea, mashuhuda wanahusisha tukio hilo na imani za kishirikina.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269