Marehemu Andrew Michael Kumalilwa enzi za uhai wake
Familia
ya Bwana Andrew Michael Kumalilwa inasikitika kutangaza kifo cha wa
baba yao mpendwa Bwana Andrew Michael Kumalilwa kilichotokea tarehe 09
Februari 2015 Jijini Dar Es Salaam.
Marehemu
Andrew Michael Kumalilwa alizaliwa mnamo tarehe 10 Machi 1938 na
aliwahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwepo ya Naibu Mkurugenzi wa
Upelelezi wa Makosa ya Jinai Tanzania (DCP) na msiba upo nyumbani kwake
Tabata Segerea na Mazishi yatafanyika Kesho Nyumbani Kwake Segerea.
Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi – Amina
Timu
nzima ya Lukaza Blog inapenda kutoa pole kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki
kwa kuondokewa na Mpendwa wao. Mungu awatie nguvu katika Kipindi hiki
Kigumu
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269