Breaking News

Your Ad Spot

Feb 10, 2015

USIKU WA SHADYA CHAPUCHAPU KATIKA HAFLA YA KUZALIWA KWAKE LEO DAR ES SALAAM.

 Shadya Shaibu, akilishwa kipade cha keki na Baba yake mzazi Shaibu Chapuchapu, katika hafla yake ya kuzaliwa iliyofanyika nyumbani kwa wazazi wake Kigamboni Dar es Salaam usiku huu. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
  Shadya Chapuchapu (kulia) akimlisha baba yake mzazi Shadya Shaibu keki
 Shadya Chapuchapu (kulia) akimlisha mama yake mzazi Marim Tindwa ,keki katika Hafla ya kuzaliwa iliyofanyika Kigamboni Dar es Salaam
 Mama mzazi wa Shadya Chapuchapu  Marim Tindwa (kushoto), akimlisha keki mwanaye katika Hafla iliyofanyika nyumbani kwao Kigamboni Dar es Salaam leo
Kaka wa Shadya,  Sheni Shaibu , akila keki katika hafla fupi ya siku ya kuzaliwa dada yake
Shadya chapuchapu (wapili kushoto) walio chuchuma katika Picha ya pamoja akiwa ameshika keki na kaka yake Shamte chapuchapu, wakishika keki kwa pamoja katika hafla ya kupongezwa kwake katika hafla ya kuzaliwa iliyofanyika usiku huu Kigamboni Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages