Mbunge wa
Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akisalimiana na wakazi waMitaa ya
Kata ya Kichangani manipaa ya Morogoro Katika Mfululizo wa Ziara zake
anazofanya katika kata Zote za Jimbi hilo kwa lengo la Kusikiliza Kero
za wananchi wa Jimbo hilo .Katika Hali isiyo ya kawaida Mh Abood
Amewashangaza wakazi wa Kata ya Kichangani Pale aliokataa Kuitwa
Mheshimiwa ,Mbunge huyo aliwataka wakati hao Kumwita Mtumishi.Akilezea
Zaidi Mh Abood alisema Namnukuu "Jina Mheshimiwa Niataitwa tu nikiwa
Bungeni Lakini Nikija kwa Kwenu Msiniite Mheshimiwa bali Mniite Mtumishi
Wetu Amekuja" Wakazi hao walishangazwa na hali hiyo na kuishia kusema
Tangu Uhuru Katika Wabunge wote waliowahi kuliongoza Jimbo Hilo
Hakujawahi Kutokea Mbunge Kama Huyu Maana anawajali ,anawasikiliza na
Ameshatatua kero Kubwa zilizokuwa zinawakabili kama
Maji,Zahanati,Barabara amoja na kuwasomesha Watoto wengi Yatima na
watoto ambao wazazi wao wana maisha Duni.
Mbunge wa
Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwa Amezungukwa na wakazi wa
Mitaa ya Area Six A na B Kata ya Kichangani aliofika kuwasikiliza kuhusu
Kero Mbalimbali zinazowakabili wakazi wa Kata hiyo.Wakazi hao
walimweleza Mh Abood Wanakabiliwa na Kero Kubwa ya Umeme,Maji na Barabara za Mitaa.Kuhusu Maji Mh Abood Aliwajibu Anapambana Usiku na Mchana kutatua Kero hiyo kwa Kushirikiana na Idara ya Maji mkoa wa Morogoro. Kwa
Juhudi zake Mwenyewe Ameshachimba Karibu Kila Kata Vyenye Dhamani ya
Karibu Milion 550.Na Bado anaendelea Kutumia Kila Mbinu kuhakikisha
wakaz i hao wanapata Maji safi na salama. Alitoa Shilingi Milion 1 kwajili ya Kununua Kununua Mafuta Kuwesha Mitambo ya Kuchonga Barabara za Mitaa hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea na Mtoto Mdogo wakti wa Ziara yake aliyoifanta kata ya Kichanagani
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikaanga Samaki
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiwa Meza Kuu na wenyeviti wa
Mitaa ya Koal A na B Kata ya Kichangani waliojitokeza Kwenye ziara ya
Mh Abood Ambapo walipewa nafasi ya Kuwasalimia wananchi waliishia
Kumsifia Mbunge huyo kwa Kumwita Ni jembe Lililo Makini na Kuwaasa
wakazi wa Jimbi hilo Kuunga Mkono katika Shuguli zakea Pia walimuahidi
Mh Abood Kushirikiana nae bega kwa bega katika Kuwaletea wakazi wa
Morogoro Maendeleao.Aidha Mh Abood aliwajibu Kwamba Yupo tayari kufanya
nao kazi Muda wowote wamshirikishe wanapokwama
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269