Safari ilianzia Bukoba kupitia maeneo ya Nyabihanga. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Kupita maeneo ya shamba la miwa la kiwanda cha Sukari kilichopo kagera
Nisehem ya Daraja la Mto Kagera uliopo Kijiji cha Kyaka, Kataa ya Kyka. Wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera
Daraja la Mto Kagera uliopo Kijiji cha Kyaka, Kataa ya Kyka. Wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera
Muonekano wa Daraja Mto Gagera
Mpakani mwa Tanzania na Uganda
Hapa ni Sehemu ya Uganda
Sehemu ya Uganda
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269