Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa
mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi.
Waziri
Mkuu MizengO Pinda akimtambulisha Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi
(CCM) Dkt John Pombe Magufuli mbele ya umati wa watu waliofurika kwenye uwanja wa Azimio mjini MPanda mkoani Katavi wakati wa
muendelezo wa kampeni za chama hicho mkoani humo.Chama cha CCM
kimezindua kampeni zake jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar na
kuhudhuriwa na maelfu ya wanachama na wakereketwa wa chama hicho cha CCM
Wananchi
wakishangilia wakati Waziri Mkuu Pinda alipokuwa akimnadi Mgombea urais
wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni
katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi
Sehemu ya
umati wa watu waliokuwa wamefurika katika uwanja wa Azimio mjini
MPanda wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt Jonh Pombe Magufuli kupitia chama cha CCM,mkoani Katavi.
Wananchi
wa kata ya Katumba wilayani Nsimbo wakiwa wamekusanyika kwa wingi
kumsikiliza Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Kata hiyo,
wilayani Nsimbo mkoani Katavi
Waziri
Mkuu Pinda akimuelekeza jambo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokwenda kuwahutubia
wananchi wa Mpanda mjini kwenye kutano wa kampeni mkoani Katavi.
Sehemu ya
umati wa Wananchi wa kata ya Mishamo,wakimsikiliza Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli
kwenye mkutano wa kampeni,wilayani Mpanda mkoani Katavi.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia
CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika kata ya
Mishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.
Mmoja wa wananchi akimshangilia Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika kijiji cha Mpandandogo,mkoani Katavi
Sehemu ya
Wananchi wa kata ya Mishamo,wakisubiri kumisikiliza Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli
wakati wa mkutano wa kampeni katika kata ya Mishamo,wilayani Mpanda
mkoani Katavi.
Sehemu ya
Wananchi wa kata ya Mishamo,wakishangilia wakati Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli
alipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye kata
ya Mishamo,wilayani Mpanda Mkoani Katavi.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt John Pombe
Magufuli akiwapungia wananchi alipokuwa akiwasili katika mkutano wa
kampeni kwenye kata ya Mishamo,Wilayani Mpanda Mkoani Katavi.
Sehemu ya
umati wa Wananchi wa kata ya Mishamo,wakimsikiliza Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli
kwenye mkutano wa kampeni,wilayani Mpanda Mkoani Katavi.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe
Magufuli akiwahutubia wakazi wa Kata ya Mishamo mapema leo mchana wakati
wa mkutano wa kampeni wilayani Mpanda Mkoani Katavi.
Sehemu ya
Wananchi wa kata ya Mishamo,wakishangilia wakati Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli
alipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye kata
yaMishamo,wilayani Mpanda Mkoani Katavi.

Wananchi wa Kata ya Mishamo,wakisubiri kumsikiliza Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli
wakati wa mkutano wa kampeni katika kata ya Mishamo,wilayani Mpanda Mkoani Katavi.
Mke wa
Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda pichani kushoto akiwa na baadhi ya wanachama
cha CCM,ndani ya wilaya ya jimbo la Nsimbo wakati Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli
alipokwenda kuwahutubia wananchi hao kwenye kutano wa kampeni Mkoani
Katavi.
Wafuasi
na wanachama cha CCM wakifurahia mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa
CCM Dkt John Pombe Magufuli jioni ya leo katika uwanja wa Azimio mjini
Mpanda Mkoani Katavi.
PICHA NA MICHUZI JR-KATAVI
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269