Mwalimu wa Michezo Arnold Sangawe ambae alikuwa mshehereshaji (MC) wa shuguli hiyo.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mgombea
Ubunge Abbas Mtemvu akiweka saini kwenye kitabu cha wageni alipo wasili
Shule ya Msingi Shalom iliyopo Kurasini Jijini Dar es Salaam
Mgombea Ubunge Abbas Mtemvu akisalimiana na Askofu John Rwezahura mara
baada ya mbunge huyo kutowa vyeti kwa wanafunzi wa shule ya Msingi
Shalom iliyopo Kurasini Jijini Dar es Salaam ambapo ni mahafali ya 11.
Sehemu
ya Wanafunzi wa darasa la Awali (chekechea) wakimsikiliza kwa makini
Mgeni Rasmi Mgombea Ubunge Abbas Mtemvu alipokuwa akizungumza wakati wa
Mahafali ya 11 ya darasa la Saba
Mzazi
wa mwanafunzi Mary Mkozi anaye maliza darasa la Saba, June Samwel
ambaye ni Afisa Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili akisakata
muziki wa Dini wakati wa Mahafali ya 11 katika Shule ya Shalom iliyopo
Kurasini Jijini Dar es Salaam
Mary Mkozi, mwanafunzi anae maliza darasa la Saba akiwa na waalimu
wake na alie kusho ni mama wa mwanafunzi huyo June Samwel ambae ni
Afisa Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Mkuu wa Kitengo cha
Clinic za Nje katika Hospitali hiyo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269